1 Fal. 8:38 Swahili Union Version (SUV)

maombi yo yote au dua yo yote ikifanywa na mtu awaye yote, au na watu wako Israeli wote pamoja, watakaojua kila mtu maradhi ya moyo wake, na kuikunjua mikono yake kuielekea nyumba hii;

1 Fal. 8

1 Fal. 8:29-39