1 Fal. 7:49 Swahili Union Version (SUV)

na vinara vya taa, vitano upande wa kuume, na vitano upande wa kushoto, mbele ya chumba cha ndani, vya dhahabu safi; na maua, na taa, na koleo ya dhahabu;

1 Fal. 7

1 Fal. 7:39-51