1 Fal. 20:14 Swahili Union Version (SUV)

Ahabu akanena, Kwa nani? Akasema, BWANA asema hivi, Kwa vijana wa maliwali wa majimbo. Ndipo akanena, Ni nani atakayepanga vita? Naye akajibu, Ni wewe.

1 Fal. 20

1 Fal. 20:11-22