1 Fal. 12:6 Swahili Union Version (SUV)

Mfalme Rehoboamu akataka shauri kwa wazee waliokuwa wakisimama mbele ya Sulemani, baba yake, alipokuwa hai, akasema, Mwanipa shauri gani ili niwajibu watu hawa?

1 Fal. 12

1 Fal. 12:4-9