Zaburi 3:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Uje ee Mwenyezi-Mungu!Niokoe ee Mungu wangu!Wewe wawavunja mataya maadui zangu wote;wawavunja meno waovu wasinidhuru.

Zaburi 3

Zaburi 3:1-8