Mfalme Nebukadneza wa Babuloni aliwapiga na kuwaua watu hao huko Ribla katika nchi ya Hamathi.Basi, watu wa Yuda walikwenda uhamishoni nje ya nchi yao.