Yeremia 51:44 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitamwadhibu mungu Beli huko Babuloni,nitamfanya akitoe alichokimeza.Mataifa hayatamiminika tena kumwendea.Ukuta wa Babuloni umebomoka.

Yeremia 51

Yeremia 51:34-54