Yeremia 51:43 Biblia Habari Njema (BHN)

Miji yake imekuwa kinyaa,nchi ya ukavu na jangwa,nchi isiyokaliwa na mtu yeyote,wala kupitika na binadamu yeyote.

Yeremia 51

Yeremia 51:41-47