Yeremia 30:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Nitazirudisha tena fanaka za maskani ya Yakobo,na kuyaonea huruma makao yake;mji utajengwa upya juu ya magofu yake,na ikulu ya mfalme itasimama pale ilipokuwa.

Yeremia 30

Yeremia 30:12-19