Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema:“Tazama, maafa yatalikumba taifa moja baada ya lingine,na tufani itazuka kutoka miisho ya dunia.”