Yeremia 18:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo waache watoto wao wafe njaa,waache wafe vitani kwa upanga.Wake zao wawe tasa na wajane.Waume zao wafe kwa maradhi mabayana vijana wao wachinjwe kwa upanga vitani.

Yeremia 18

Yeremia 18:12-22