Yeremia 18:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Je, mtu hulipwa mabaya kwa mema?Walakini, wamenichimbia shimo.Kumbuka nilivyosimama mbele yako,nikasema mema kwa ajili yao,ili kuiepusha hasira yako mbali nao.

Yeremia 18

Yeremia 18:15-23