Yeremia 14:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Nikienda nje mashambani,naiona miili ya waliouawa vitani;nikiingia ndani ya mji,naona tu waliokufa kwa njaa!Manabii na makuhani wanashughulikia mambo yao nchini,wala hawajui wanalofanya.”

Yeremia 14

Yeremia 14:14-22