Yeremia 14:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Hivi ndivyo utakavyowaambia:Laiti macho yangetoa machozi kutwa kucha,wala yasikome kububujika,maana, watu wangu wamejeruhiwa vibaya,wamepata pigo kubwa sana.

Yeremia 14

Yeremia 14:15-18