Yeremia 10:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini hema langu limebomolewa,kamba zake zote zimekatika;watoto wangu wameniacha, na kwenda zao,wala hawapo tena;hakuna wa kunisimikia tena hema langu,wala wa kunitundikia mapazia yangu.

Yeremia 10

Yeremia 10:19-21