Waamuzi 19:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Walipokuwa wamekaribia mjini Yebusi, siku ilikuwa karibu imekwisha; naye mtumishi akamwambia bwana wake, “Sasa heri tuingie katika mji huu wa Wayebusi tulale humo usiku huu.”

Waamuzi 19

Waamuzi 19:8-17