Bwana, ni nani asiyekucha wewe?Nani asiyelitukuza jina lako?Wewe peke yako ni Mtakatifu.Mataifa yote yatakujia na kukuabudumaana matendo yako ya haki yamedhihirishwa.”