Ufunuo 15:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Walikuwa wakiimba wimbo wa Mose, mtumishi wa Mungu na wa Mwanakondoo:“Bwana Mungu Mwenye Nguvu,matendo yako ni makuu na ya ajabu mno!Ewe Mfalme wa mataifa,njia zako ni za haki na za kweli!

Ufunuo 15

Ufunuo 15:1-8