Ufunuo 11:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa mataifa waliwaka hasira,lakini ghadhabu yako imefika,naam wakati wa kuwahukumu wafu.Ndio wakati wa kuwatuza watumishi wako manabii,watakatifu na wote wanaolitukuza jina lako, wakubwa kwa wadogo.Ni wakati wa kuwaangamiza waangamizi wa dunia.”

Ufunuo 11

Ufunuo 11:13-19