Sefania 3:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema:“Nimeyafutilia mbali mataifa;kuta zao za kujikinga ni magofu.Barabara zao nimeziharibu,na hamna apitaye humo.Miji yao imekuwa mitupu,bila watu, na bila wakazi.

Sefania 3

Sefania 3:1-8