Sefania 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini Mwenyezi-Mungu aliye mjini humo ni mwadilifu,yeye hatendi jambo lolote baya.Kila siku asubuhi hudhihirisha kauli yake,naam, kila kunapopambazuka huitekeleza.Lakini wahalifu hawana aibu hata kidogo.

Sefania 3

Sefania 3:1-9