Sefania 1:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Siku hiyo itakuwa siku ya ghadhabu,ni siku ya dhiki na uchungu,siku ya giza na huzuni;siku ya uharibifu na maangamizi,siku ya mawingu na giza nene.

Sefania 1

Sefania 1:14-18