Sefania 1:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Ile siku kubwa ya Mwenyezi-Mungu imekaribia,iko karibu na inakuja mbio.Mlio wa siku ya Mwenyezi-Mungu ni wa uchungu;hapo, shujaa atalia kwa sauti.

Sefania 1

Sefania 1:8-18