Kumbukumbu La Sheria 15:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Angalieni wazo ovu lisiwaingie mioyoni mwenu, mkasema: ‘Mwaka wa saba, mwaka wa kusamehe wadeni, uko karibu’; mkamfikiria ndugu yenu maskini kwa ukali na kukataa kumpa chochote; yeye aweza kumlilia Mwenyezi-Mungu dhidi yenu na hiyo ikawa dhambi kwenu.

Kumbukumbu La Sheria 15

Kumbukumbu La Sheria 15:1-16