Kumbukumbu La Sheria 15:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Mpeni ndugu maskini kwa ukarimu bila kunungunika; maana kwa ajili ya hayo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki katika kazi zenu zote na katika kila mfanyalo.

Kumbukumbu La Sheria 15

Kumbukumbu La Sheria 15:9-20