Kumbukumbu La Sheria 10:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Kutoka hapo, walisafiri hadi Gudgoda, na kutoka Gudgoda hadi Yot-batha, eneo lenye vijito vingi vya maji.

Kumbukumbu La Sheria 10

Kumbukumbu La Sheria 10:1-17