Kumbukumbu La Sheria 10:6 Biblia Habari Njema (BHN)

(Watu wa Israeli walisafiri kutoka visima vya watu wa Yaakani hadi Mosera. Hapo, Aroni alifariki, akazikwa. Eleazari mwanawe, akachukua nafasi yake kama kuhani.

Kumbukumbu La Sheria 10

Kumbukumbu La Sheria 10:1-16