Isaya 51:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wako uliowakomboa, ee Mwenyezi-Mungu, watarudi,watakuja Siyoni wakiimba;watajaa furaha ya milele,watapata furaha na shangwe.Huzuni na maombolezo vitatoweka kabisa.

Isaya 51

Isaya 51:6-15