Isaya 51:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Wewe ndiwe uliyeikausha bahari,ndiwe uliyevikausha vilindi vya maji,ukafanya njia katika vilindi vya bahari,ili wale uliowakomboa wavuke humo.

Isaya 51

Isaya 51:8-16