Isaya 30:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wenu elfu moja watamkimbia askari mmoja adui;na askari watano maadui watawakimbizeni nyote.Mwishowe, watakaosaliawatakuwa kama mlingoti wa bendera mlimani,kama alama iliyo juu ya kilima.

Isaya 30

Isaya 30:8-18