Ezekieli 7:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Wauzaji hawataweza kurudia mali yao waliyouzahata kama wakibaki hai.Kwani maono haya yahusu umati wote na hayatabatilishwa.Kutokana na uovu huo, hakuna mtu atakayesalimisha maisha yake.

Ezekieli 7

Ezekieli 7:12-20