Ezekieli 7:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati umewadia,naam, ile siku imekaribia.Mnunuzi asifurahi wala mwuzaji asiomboleze;kwa sababu ghadhabu yangu itaukumba umati wote.

Ezekieli 7

Ezekieli 7:8-16