30. Maharai Mnetofati, Heledi mwana wa Bana Mnetofati,
31. Itai mwana wa Ribai wa Gibeya wa ana a Benjamini, Benaya Mpiratoni,
32. Horai wa ku mitsinje ya Gaasi, Abiyeli M-ariba,
33. Azmaveti Mbaharumi, Eliaba Mshaliboni;
34. ana a Hasemu Mgizoni; Yonatani mwana wa Sage Mharari,
35. Ahiamu mwana wa Sakari Mharari, Elifali mwana wa Uri,
36. Heferi Mmekerati, Ahiya Mpeloni,
37. Hezro wa ku Karimeli, Naarai mwana wa Ezbai,