Furahi sana, Ee binti Sayuni;Piga kelele, Ee binti Yerusalemu;Tazama, mfalme wako anakuja kwako;Ni mwenye haki, naye ana wokovu;Ni mnyenyekevu, amepanda punda,Naam, mwana-punda, mtoto wa punda.