Basi nikalilisha kundi la machinjo, kweli kondoo waliokuwa wanyonge kabisa.Kisha nikajipatia fimbo mbili; nami nikaiita ya kwanza, Neema, na ya pili nikaiita, Vifungo; nikalilisha kundi lile.