Zek. 1:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Katika mwezi wa nane, mwaka wa pili wa Dario, neno la BWANA lilimjia Zekaria, mwana wa Berekia, mwana wa Ido, nabii, kusema,

2. BWANA amewakasirikia sana baba zenu.

Zek. 1