Nguvu za mfalme nazo zapenda hukumu;Wewe ndiwe uliyeithibitisha adili;Ulifanya hukumu na haki katika Yakobo.