Mwimbieni BWANA wimbo mpya,Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.Mkono wa kuume wake mwenyewe,Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.