Zab. 96:5-7 Swahili Union Version (SUV)

5. Maana miungu yote ya watu si kitu,Lakini BWANA ndiye aliyezifanya mbingu.

6. Heshima na adhama ziko mbele zake,Nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake.

7. Mpeni BWANA, enyi jamaa za watu,Mpeni BWANA utukufu na nguvu.

Zab. 96