Semeni katika mataifa, BWANA ametamalaki;Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike,Atawahukumu watu kwa adili.