Siku za miaka yetu ni miaka sabini,Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini;Na kiburi chake ni taabu na ubatili,Maana chapita upesi tukatokomea mara.