Zab. 89:50-51 Swahili Union Version (SUV) Ee Bwana, ukumbuke,Wanavyosimangwa watumishi wako;Jinsi ninavyostahimili kifuani mwanguMasimango ya watu wengi.