Ndipo ulipowaambia watakatifu wako kwa njozi,Ukasema, nimempa aliye hodari msaada;Nimemtukuza aliyechaguliwa miongoni mwa watu.