Zab. 88:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Ee BWANA, Mungu wa wokovu wanguMchana na usiku nimelia mbele zako.

2. Maombi yangu yafike mbele zako,Uutegee ukelele wangu sikio lako.

Zab. 88