Zab. 86:15-16 Swahili Union Version (SUV) Lakini Wewe, Bwana,U Mungu wa rehema na neema,Mvumilivu, mwingi wa fadhili na kweli. Unielekee na kunifadhili