Na nisikie atakavyosema Mungu BWANA,Maana atawaambia watu wake amani,Naam, na watauwa wake pia,Bali wasiurudie upumbavu tena.