Hakika siku moja katika nyua zakoNi bora kuliko siku elfu.Ningependa kuwa bawabu nyumbani mwa Mungu wangu,Kuliko kukaa katika hema za uovu.