6. Hema za Edomu, na Waishmaeli,Na Moabu, na Wahagari,
7. Gebali, na Amoni, na Amaleki,Na Filisti, nao wanaokaa Tiro,
8. Ashuri naye amepatana nao,Wamewasaidia wana wa Lutu.
9. Uwatende kama Midiani, kama Sisera,Kama Yabini, penye kijito Kishoni.
10. Ambao waliangamizwa Endori;Wakawa samadi juu ya nchi.