Wewe uchungaye Israeli, usikie,Wewe umwongozaye Yusufu kama kundi;Wewe uketiye juu ya makerubi, utoe nuru.