Naam, wasiwe kama baba zao,Kizazi cha ukaidi na uasi.Kizazi kisichojitengeneza moyo,Wala roho yake haikuwa amini kwa Mungu.